Nick Cannon aingia kwenye mahusiano na ex wa Usher, Chilli


Rapper Nick Cannon anadaiwa kuingia kwenye mahusiano na aliyekuwa mpenzi wa Usher,  Rozonda Thomas maarufu kama Chilli.
Hivi karibuni Nick Cannon ameonekana maeneo ya New York akiwa na muimbaji huyo huku wakionekana ni kama watu wenye mahusiano ya kimapenzi.
Mtu wa karibu wa wawili hao amesema, “Nick and Chilli [have] been hanging out on the low. [They’ve] been friends for some time and just recently this summer they have been hanging out romantically.”


Rozanda aliwahi kuwa kwenye uhusiano maarufu na  Usher Raymond uliodumu kwa miaka miwili.

ConversionConversion EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng