July 16 2016 tamasha la Zanzibar International Film Festival ‘ZIFF’ limefanyika Zanzibar huku likiwakusanya watu kutoka mataifa mbalimbali duniani, hili ni tamasha ambalo limekuwa likijikita zaidi katika kukuza sanaa ya filamu nchini na kwa leo limewatunuku tuzo baadhi ya mastaa ambao baadhi yao nimekusogezea hapa chini.
Mastaa Fid Q, Gabo na wengine wametangazwa washindi wa ZIFF 2016
July 16 2016 tamasha la Zanzibar International Film Festival ‘ZIFF’ limefanyika Zanzibar huku likiwakusanya watu kutoka mataifa mbalimbali duniani, hili ni tamasha ambalo limekuwa likijikita zaidi katika kukuza sanaa ya filamu nchini na kwa leo limewatunuku tuzo baadhi ya mastaa ambao baadhi yao nimekusogezea hapa chini.
ConversionConversion EmoticonEmoticon