Pesa Madafu ya Jay Moe yafanyiwa cover na chipukizi huyu


Wasanii wengi duniani huamua kufanya cover versions za nyimbo ambazo zinafanya vizuri ambazo zimewapatia umaarufu na kupata zali la kufanya kazi na wasanii wakubwa.
‘Pesa Madafu’ ni wimbo wa Jay Moe unaofanya vizuri kwenye radio na TV ambao umekuwa ni wimbo uliopata bahati ya kufanyiwa cover na msanii anaye chipukia, K Flow.
Sikiliza wimbo hapa chini.



Previous
Next Post »