Peter Msechu ni mwimbaji wa bongofleva ambaye headlines zake zilianzia kwenye BSS, kisha PROJECT FAME na baadae akarudi kwenye mzunguko wa bongofleva, sasa good news ni kwamba star huyo ameungana na Banana Zorro kutuletea hii video mpya yao iitwayo Mama.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ConversionConversion EmoticonEmoticon