Video | Harmonize - Matatizo Mp4 Free Download




Baada ya msanii wa Bongofleva Harmonize kuachia video yake ya ‘Bado’aliyomshirikisha Diamond Platnumz, leo July 4 2016 Harmonize ameachia video yake ya tatu ‘Matatizo’ Harmonize amechia video ya wimbo ambao hakuwa ametoa audio yake ila ameamua kuanza na video moja kwa moja.

Previous
Next Post »