PICHA:Rapper Birdman na Toni Braxton waamua kuweka wazi hisia zao za kimapenzi.


Wakati wa utoaji wa tuzo za muziki za BET mwaka huu yalijiri matukio mengi nyuma ya pazia,miongoni mwa matukio hayo ni muendelezo wa tetesi zilizozagaa mitandaoni kuwa Birdman,rapper na mmiliki wa music label ya  Cash Money Recordskuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na staa wa miondoko ya Pop na R&B,Toni Braxton.
toni braxton 000pMashuhuda wameuambia mtandao wa TMZ,kuwa wakati zoezi la utoaji tuzo za BET likiendelea,wawili hao walionekana pamoja backstage wakishikana mikono huku wakionekana watu wenye hisia za kimapenzi.
“Toni and Birdman spent some time together backstage,”…..“They were holding hands,talk closed to each other”…”it seems they had same feelings”.Mashuhuda waliuambia mtandao huo.
                     Birdman & Toni Braxton @BET,Award 2016.
Ingawa wawili hao hawajazungumza chochote juu ya tetesi hizo,Mama mzazi wa Toni Braxton anaefahamika kwa jina moja la Evelyn,ameuambia mtandao wa Us Magazinekuwa hajali watu wanamzungumziaje Birdman na haoni tatizo kwa mwanae kuwa kwenye mahusiano na rapper huyo.“I don’t care what others say about him. He is a nice man. He is full of respect.”…”Ever since I’ve been knowing that man, he’s been phenomenal”.Alidai Mama mzazi wa Toni Braxton.
Tetesi za Birdman (41) na Toni Braxton (48) kuwa na mahusiano ya kimapenzi zilianza kuenea mitandaoni baada ya show ya Toni Braxton jijini Atlanta mnamo June 2,2016 baada rapper Birdman kujumuika nae alipopanda jukwanii ambapo wakati mmiliki huyo wa music label ya Cash Money Records anashuka  jukwaani Braxton alitamka kwa sauti akitumia kipaza sauti “Respect that man y’all”.Alitamka mwanamuziki huyo.
Previous
Next Post »