Mshauri wa Trump azungumza picha za utupu za mkewe Trump


Baada ya jarida la New post  la Marekani kutumia picha za utupu za mke wa Mgombea  urais wa Marekani kupitia chama cha Republican Donald Trump katika jarida lao walilolitoa July 31 2016 ambalo limesababisha headlines mitandaoni.
Leo August 1 2016 Kituo kikubwa cha habari CNN kimempata kwenye exclusive interview mshauri mkuu wa mgombea huyo Jason Miller na ameyazungumza haya…..Picha hizo zina miaka 20 kipindi kabla Donald Trump na Melania kukutana na hatuna tatizo na jarida la New post kutumia picha za utupu za Melania Mwili wa binadamu ni sherehe ya sanaa, hakuna kitu cha kushangaza melania ni mwanamke mzuri”
Previous
Next Post »