Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta jana July 14 2016 alipata nafasi ya kucheza katika mchezo wa kwanza wa KRC Genk wa kuwania kufuzu Europa Leaguedhidi ya Buducnost Podgorica ya Montenegro, katika mchezo huo Genk waliibuka na ushindi wa goli 2-0, magoli ambayo yalifungwa na Neeskens Kebano kwa mkwaju wa penati dakika ya 17 na Mbwana Samatta dakika ya 79.
This is dummy text. It is not meant to be read. Accordingly, it is difficult to figure out when to end it. But then, this is dummy text. It is not meant to be read. Period.
ConversionConversion EmoticonEmoticon