Huddah Monroe amweka wazi mpenzi wake


Diva wa Kenya asiyeishiwa vituko, Huddah Monroe amemweka wazi mpenzi wake baada ya kuficha kwa muda mrefu.
Huddah aliwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na rapper Prezzo lakini hivi karibuni amekuwa akiyaficha mahusiano yake baada ya muda mwingi akionekana akiwa mwenyewe kwenye viwanja tofauti.
Akiongea na Kiss FM, Huddah alisema, “I have a boyfriend, he’s playing soccer.” Lakini alipinga kuwa mpenzi wake huyo siyo Vicent Wanyama kwa kuwa yeye ndiye mchezaji pekee wa Kenya anayecheza ligi kuu ya Uingereza tena timu kubwa.
Previous
Next Post »