‘Freemason yatibua fedha za TASAF mkoani Singida’


Moja ya stori iliyoripotiwa ni hii kwenye gazeti la Mwananchi yenye kichwa cha habari ‘Freemason yatibua fedha za TASAF mkoani Singida’
Gazeti hilo limeripoti kuwa halmashauri ya wilaya ya Mkalama mkoani Singida imerudisha zaidi ya milioni 12.1 katika mfuko wa maendeleo ya jamii ‘TASAF’ makao makuu baada ya baadhi ya kaya maskini kukataa kuzipokea kwa madai kuwa fedha hizo ni za ‘freemason’


Mratibu wa TASAF wa wilaya hiyo, Athumani Dulle alitaja sababu nyingine zilizochangia fedha hizo zisipokele kuwa ni vifo, kuhama kwa kaya na baadhi ya walengwa kukosa taarifa ya siku ambazo fedha hizo zilikuwa zinatolewa kusaidia kaya hizo.
Previous
Next Post »