VIDEO | Wanafunzi elimu ya juu walivyotoa masikitiko yao kwa bodi ya mikopo


Kamati ya mawaziri wa mikopo ya serikali za wanafunzi wa Elimu ya juu nchini Tanzania inayoundwa na mawaziri, Manaibu waziri na makatibu wa wizara ya mikopo kutoka vyuo vyote nchini leo July 16 2016 wamkutana na waandishi wa habari jijini Dar es salaam.  
Kamati hiyo imeelezea masikitiko yao kwamba kwa kipindi cha mwisho wa mwezi huu wanafunzi wa elimu ya juu watatakiwa kufika katika vituo vyao vya kazi vilivyosambaa nchi nzima ili kuendelea kupata mafunzo kwa vitendo ila wamesikitishwa kwamba wakati wakijiandaa na hilo  hakuna mchakato wowote unaoendelea kupelekea kupata fedha hizo.
Previous
Next Post »