Tunda Man kaeleza sababu za kutofanyika kwa ile kolabo yake na Fally Ipupa


Mwaka 2015 msanii wa bongofleva Tunda Man alisema kuwa mwaka 2016 tutegemee wimbo wake alioshirikiana na staa wa muziki Afrika Fally Ipupa kutoka Congo DRC lakini mpaka July hii bado ngoma haijatoka.
AyoTV na millardayo.com zimempata Tunda Man na kayaongea haya >>> ‘Kitu kikubwa ni bajeti na baada ya jamaa kuifanya kuna hela alikua anazitaka kabla ya video na kama ningezitoa uchumi wangu ungeyumba, alikua anataka karibu milioni 100 na kama ningeitoa uchumi wangu ungeyumba’
Previous
Next Post »