Picha | Kala Jeremiah kuachia video mpya ya wimbo ‘Wana Ndoto’


Msanii wa muziki wa Hip Hop, Kala Jeremiah ameshoot video ya wimbo wake ‘Wana Ndoto’ ambayo inatarajiwa kutoka tarehe 26 mwezi huu.
Rapper huyo ambaye alikuwa kimya kwa muda mrefu, amesema video ya wimbo ‘Wana Ndoto’ inakuja kurudisha matumani kwa mashabiki wake ambao walimiss kwa muda mrefu. Angalia picha za maandalizi ya video hiyo.

WhatsApp-Image-20160718 (2)

WhatsApp-Image-20160718 (3)

WhatsApp-Image-20160718 (4)
WhatsApp-Image-20160718 (5)
Previous
Next Post »