Kocha mpya wa Man United Jose Mourinho ameingia tena kwenye headlies baada ya kutoa kauli ambayo imesambaa katika mitandao ya jamii, Mourinho katika mahojiano naDaily Express ametaja majina ya wachezaji wake watatu wa muda wote na kumuachaRonaldo.
Mourinho amewataja Messi, Pele na Diego Maradona kama ndio wachezaji bora wa muda wote na kumpotezea mreno mwenzake Cristiano Ronaldo ambaye wengi walikuwa wanatarajia kuwa atakuwemo katika list ya Mourinho ukilinganisha uwezo wake na utaifa wao“Kwangu mimi binafsi TOP 3 ya wachezaji bora wa muda wote katika historia ni Messi, Pele na Maradona”
ConversionConversion EmoticonEmoticon