Majibu ya Mrisho Mpoto kwanini Hakutembea peku Mlima Kilimanjaro



Ni kawaida yake msanii Mrisho Mpoto kuonekana peku kwenye sehemu mbalimbali ambapo hivi karibuni aliamua alikwenda kwenye Mlima Kilimanjaro lakini hakutembea peku kama ilivyo kawaida yake.
Picha zimesambaa na ukiona comments wengine wanauliza mbona hakutembea peku time hii? anajibu >>> ‘Nimeona watu wananiuliza, ni kwasababu kulikuwa na baridi kali na mpaka maji ya kunywa yenyewe tulikuwa tunayafunika na vitambaa
Unahitaji kumsikiliza Mrisho Mpoto zaidi? bonyeza play hapa chini
Previous
Next Post »