Central intelligence ni moja ya movie mpya zitazoanza kuonyeshwa leo dunia nzima kwenye majumba ya Cinema ambapo ndani ya movie wameshiriki mastaa wa kimarekani akiwemo Dwyane Johnson, Kelvin Hart, Bobby Brown, Ryan Hansen kama vipi ungana na dunia nzima ukaangalie movie hiyo mpya pamoja na movie nyingine kwenye list hapa chini
Unamkumbuka staa Liam Hemsworth aliyewahi kujichukulia umaarufu kwenye movie kadhaa ikiwemo ya The Duel , sasa time hii staa huyo kashiriki pia kwenye movie mpya iitwayo Independence Day ambayo nayo itaanza kuoneshwa rasmi leo Julay 1, 2016 kwenye theater mbalimbali, tazama hii Trailer hapa
ConversionConversion EmoticonEmoticon