Mshindi wa tuzo ya BET, Black Coffee ambae alikuwa akiwania tuzo aliyokuwa akishindania Diamond Platnumz ya Best International Act Africa ama msanii bora wa kimataifa kutoka Afrika, hapa ametusogezea hii moja kati ya kolabo alizozikamilisha ikiwemo hii ya remix ya wimbo wa msanii wa marekani Alicia Keys.
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ConversionConversion EmoticonEmoticon