Audio | AKA amtaja msanii mwingine anayemkubali Bongo baada ya Diamond na Joh Makini

13712753_567472883431876_1908715138_nRapper AKA alifanya mahojiano na mtangazaji wa kituo cha redio cha Jembe FM, JJ kuhusiana na mambo kibao. Miongoni mwao ni collabo zake mbalimbali na wasanii anaowakubali Afrika.
Aliwataja baadhi yao kuwa ni pamoja na Diamond, K.O, M.I, Burna Boy na Wizkid.
Kuhusu msanii mwingine wa Tanzania anayeweza kuja kufanya naye kazi kama akitaka amshirikishe, AKA alisema:Nahitaji kujifunza zaidi kuhusu wasanii wa Tanzania, najua Diamond ana msanii aitwaye Harmonize, anafanya vizuri sana hivyo pengine naweza kumsupport.”
0ab7a051-2d13-41cc-accc-42d63d0c0ea4

JJ, Mtangazaji wa Jembe FM aliyemhoji AKA
Msikilize zaidi hapo chini.



Previous
Next Post »