Ajali iliyotokea kwenye msafara wa Waziri Mwakyembe leo


Msafara wa waziri wa sheria na katiba Dr. Harrison Mwakyembe umepata ajali baada ya gari lililokua limembeba Mkurugenzi wa mashtaka na makosa ya jinai DPP Biswalo Mganga kupinduka katika kata ya Bwanga wilayani Chato wakitokea mkoani Geita.
Imedaiwa chanzo cha ajali hiyo ni dereva kujaribu kuwakwepa watoto wawili waliokuwa wakikatiza barabara ghafla, taarifa zinadai kuwa katika ajali hiyo hakuna vifo wala majeruhi.
IMG-20160713-WA0004 IMG-20160713-WA0005
Previous
Next Post »