Bob Junior kayatoa ya moyoni kuhusu wasanii waliokuwaga Sharobaro rec..(VIDEO)


Msanii na mtayarishaji wa muziki kutoka Sharobaro Record, Bob Junior kupitia Ayo TV kayatoa ya moyoni kuhusiana na wasanii waliokuwaga chini ya Sharobaro Records.
Msanii huyo alisema..’Kwanza kabisa sina ubaya na msanii yoyote niliyokuwa nikifanya nao kazi mpaka kesho wakija nitaendelea kufanya nao kazi na kuna baadhi ya kazi zipo tu siku wakiamua watazitoa, na sababu ya kukaa kimya kwa kipindi cha nyuma  nilikuwa nikiboresha kazi zangu kuna vitu vingi vinakuja’Bob Junior

ConversionConversion EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng